Mageuko ya spishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Msingi wa nadharia hii ni mabaki ya [[kisukuku]] ya viumbehai ambao hawapo tena duniani lakini wanafanana kiasi na viumbehai wa leo, pamoja na [[ulinganifu]] wa spishi za karibu na za mbali zaidi. Nadharia ya mageuko ya spishi inalenga kueleza mabadiliko hayo.
 
Leo hii ndiyo nadharia ya kibiolojia inayokubaliwa na wataalamu wengi hata kama kuna wapinzani kadhaa, hasa upande wa wenye [[imani kali]] ya [[dini]], lakini pia wachache kwa sababu za kitaalamu.
 
==Mchango wa Darwin==
Mtaalamu [[Mwingereza]] [[Charles Darwin]] anajulikana kama [[mvumbuzi]] wa nadharia hii.
 
Kadiri yake, mageuko hayo hufuata [[uteuzi asilia]] yaani viumbehai wanaolingana vizuri zaidi na mazingira wanaishi na kuzaa kushinda viumbehai wasiolingana nayo.
Leo hii ndiyo nadharia ya kibiolojia inayokubaliwa na wataalamu wengi hata kama kuna wapinzani kadhaa, hasa upande wa wenye [[imani kali]] ya [[dini]], lakini pia wachache kwa sababu za kitaalamu.
 
Kwa njia hiyo [[tabia]] za viumbehai wanaofaa zaidi zinazidi kuendelezwa kwa sababu [[watoto]] wao hurithi tabia hizo. Lakini tabia za viumbehai wasiofaa sana zinaweza kutoweka kwa sababu wanakufa mapema na hawana watoto wengi wanaoendeleza tabia zao.
 
Darwin alishambuliwa mara nyingi kwa hoja ya kwamba mafundisho yake yanapinga taarifa ya [[uumbaji]] katika [[Biblia]]. Lakini hiyo inategemea jinsi ma[[simulizi]] yake yanavyosomwa: si lazima mwamini achukue kila kitu kama ilivyoandikwa, kwa sababu Biblia hailengi kutufundisha sayansi, bali [[njia]] ya [[wokovu]].
 
== Marejeo ==
Line 19 ⟶ 26:
== Viungo vya nje ==
{{commonscat|Evolution|Mageuko ya spishi}}
{{wiktionary}}
* [http://evolution.berkeley.edu/ Understanding Evolution] - a guide prepared by the University of California at Berkeley
* [http://science.howstuffworks.com/evolution.htm/printable Howstuffworks.com—How Evolution Works]