Udongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d masahihisho madogo
Mstari 1:
[[File:Lössacker.jpg|thumb|Udongo aina wa "Loess" kwenye mashamba ya Ujerumani ya kaskazini]]
[[File:tabaka za udongo.jpg|thumb|Umbopande la udongo ni kanda zenye tabia mbalimbali zilizosababishwa na athiraathari za mimea, wadudu na maji.]]
'''Udongo''' (pia: ardhi) ni sehemu ya juu kwenye uso wa nchi ambako mimea huweza kuota. Nao hutumiwa kwa kilimo.
 
Udongo wenyewe ni mchanganyiko wa vipande vidogo vya [[Mwamba (jiolojia)|mwamba]] na [[madini]] yaliyosagwa pamoja na mata ogania kama [[mboji]] (mabaki ya mimea na wanyama yaliyooza) na pia wadudu na vijidudu vinavyoishi ndani yake. Udongo huwa pia na [[hewa]] na [[maji]] ndani yake zinazojaazinazojaza nafasi kati ya vipande vidogo vya mwamba.
 
Kiasi chake kikubwa ni vipande vidogo vyenye asili ya mwamba au madini. Mwamba huvunjwa na maji, upepo na kutokana na athiraathari ya joto / baridi kwa njia ya [[mmomonyoko]]. Hivi vipande vinaweza kuwa vidogo sana na kuonekana laini kama udongo wa ufinyanzi; au vigumu vyenye pembe kama punje za [[mchanga]].
 
Udongo hupatikana kama tabaka juu ya mwamba unaofanya [[ganda la dunia]]. Mpaka wa chini wa udongo ni pale ambako mwamba mtupu unaanza; mpaka wa juu ni uso wa ardhi. Tabaka la udongo unawezalinaweza kuwa na unene wa kilomita kadhaa au sentimita chache tu.
 
==Matabaka ya udongo==
Mstari 16:
'''A) Udongo wa juu:''' Tabaka ya udongo yenye kiasi kikubwa cha mada ogania ndani yake. Ndani yake kuna [[minyoo]] na vijidudu wengi wanaoendelea kula na kubadilisha mabaki ya majani yaliyomo mle kuwa madini au [[kampaundi ogania]] sahili zaidi. Kwa kazi yao wanasababisha kuwepo kwa mashimo na nafasi ndogo ndani ya udongo wa juu. Nafasi hizi zinasaidia kuingia na kutoka kwa gesi na kiowevu. Kutokana na uwingi wa viumbehai hivi vidogo udongo wa juu una uwezo wa kutunza maji ya mvua ndani ya nafasi zake. Hii yote ni muhimu kwa kustawi wa mimea inayotandiza hapa mizizi yao.
 
Kwa lugha nyingine kuwepo kwa viumbehai hivi vidogo ni muhimu kwa rutbarutuba ya udongo. Uhaba wa mata ogania unasababisha pia uhaba wa viumbehai ndani ya udongo wa juu unaokosa rutbarutuba jinsi ilivyo jangwani.
 
Katika tabaka la udongo wa juu maji ya mvua inapitayanapita haraka zaidi na kwa hiyo madini yeyushi kama chuma, alumini, chumvi mbalimbali na mengine. Kutegemeanakutegemeana na uwingi wa mvua na hali ya udongo chini yake kiasi cha madini hizihaya inawezayanaweza kuwa haba zaidazaidi.
 
'''B) Udongo wa chini:''' katika tabaka hii madini yaliyoyeyushwa katika udongo wa juu zinakusanyikayanakusanyika. Hapo ni sababu ya kwamba kulima shamba kunaongeza rutbarutuba maana kazi ya kuchimba inapelekainapelekea madini yaliyozama chini kwenda juu.
 
'''C) Mwamba mzazi:''' hii ni tabaka ya mwamba usimegekaisiymegeka bado. Unaitwa mwamba "mzazi" kwa sababu vipande vidogo vya matabaka ya juu viavya asili hapo; kwa hiyo mwamba mzazi una tabia nyingi za kikemia sawa na udongo wa juu.
 
Mizizi mirefu ya miti inaendelea kufika hadi sehemu ya juu ya mwamba mzazi na kutafuta hapa madini yeyushi zilizozamayalizozama chini zaidi. Kwa njia hiyo inachangia mmomonyoko wa sehemu hii hata kama imefunikwa na udongo.
 
== Marejeo ==