Tofauti kati ya marekesbisho "Vita Kuu ya Pili ya Dunia"

d
'''Kuanzia mwaka [[1943]] mataifa ya ushirikiano yalianza kusogea mbele''' pande zote. Warusi walisukuma Wajerumani polepole warudi nyuma. Waamerika na Waingereza walipeleka wanajeshi Italia ya Kusini. Italia iliona mapinduzi kiongozi Mwitalia [[Mussolini]] aliondolewa madarakani na serikali mpya ilijiunga na mataifa ya ushirikiano.
 
[[1944]] mataifa ya ushirikiano waliingia Ufaransa wakielekea Ujerumani. Wakati huohuo Warusi walisogea mbele zaidi wakikaribia mipaka ya Ujerumani. Huko [[Asia]] Japon ilipoteailipoteza sehemu kubwa sana ya meli zake za kivita na Jeshi la Marekani lilikaribia visiwa vya Japani tayari.
 
== Mwisho wa vita ==