Vita Kuu ya Pili ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 31:
== Mwisho wa vita ==
 
[[1945]] iliona mwisho wa vita. Mataifa mengi yaliyokuwa mbali kama [[Argentina]], [[Peru]] au [[Mongolia]] yalitangaza pia hali ya vita dhidi ya Ujerumani na Japani. Pia nchi zilizowahi kushikamana na Wajerumani waligeukia mataifa ya ushirikoano. Ujerumani penyewe ilivamiwa kutoka Magharibi na Mashariki. Warusi walifika mji mkuu wa [[Berlin]] na Adolf Hitler alijiua tarehe [[30 Aprili]] 1945; wanajeshi wake walitia sahihi mkataba wa kusalimu amri tarehe 8-[[9 Mei]] 1945.
 
[[Picha:Nagasakibomb.jpg|thumb|right|200px|Wingu la kinyuklia juu ya Nagasaki tarehe 9 Agosti 1945]]