Nishati : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11379 (translate me) |
|||
Mstari 21:
== Nadharia Juu Ya Nishati ==
Fizikia hueleza nishati na tabia zake kimaumbile na msababisho kimatukio. Nayo
=== Ufafanuzi ===
Ni nguvu iwezeshayo kazi kufanyika.
Kazi, kifizikia; ni kitendo kinachohusisha mabadilishano ya namna moja ya nishati hadi
Kizio cha kazi ni ''Juli''.
Mstari 55:
Hii ni kanuni inayo elezea mbadilishano wa nishati kutoka hali moja hata nyingine; nayo inasema:
''Nishati haiwezi kujengwa wala kubomolewa bali hubadilika kutoka hali moja
Hii ni kusema kuwa, kiasi cha nishati kitumikacho kufanya kazi huwa sawa sawa na kiasi cha kazi kiutathmini. Hivyo kama kitendo kinaweza kurudishwa kilikotekea, kiasi kile kile cha nishati itapatikana.
Vile vile nishati inaposababisha tukio ambalo nishati za aina
'''Mifumo perepetua ya kimakanika'''
Mfano wa kanuni hii unaonekana kwenye bembea kama ile kwenye saa ya ukutani ya kimakanika. Jiwe la kuning'inia linapofika usawa wa juu kabisa; huwa na nishati uweza ya juu kabisa. Halafu Nishati Mwenendo huwa ni sifuri pale linapokuwa limesimama kabla ya kubembea na
'''Changamoto ya Nadharia ya Uhifadhi Sawia wa Nishati'''
|