Mapafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Diafragma ademhaling.gif|thumbnail||Kazi ya mapafu <br />("long"= pafu; "neus"=pua; "mond"=mdomo)]]
 
'''Mapafu''' ni sehemu ya mwili inayoingiza [[oksijeni]] mwilini na kuituma kwenda kwakwenye [[seli]] za mwili. Ni kawaida kwa wanyama wa [[faila]] ya [[chordata]] walio na [[uti wa mgongo]] na kupumua [[hewa]]. Hutokea kwa jozi maana yake ni mapafu mawili si moja tu kama moyo.
 
Kuna pia [[samaki]] na [[konokono]] kadhaa wenye mapafu.