Boga : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 24:
Kilimo cha maboga marekani kama ilivyo zao maalumu huko marekani kilogrammu ilioni 680 za maboga huzalishwa kila mwaka, majimbo yanayoongoza kuzalisha maboga huko marekani ni pamoja na Illinois, inainna, ohio, califania, na Pennsylvania, kulingana na idara ya kilimo ya illlinors, 95% ya maboga yanayofanyiwa utayarishaji wa ndani hutokea Illonois.
Maboga ni mazao ya msimu wa joto, ambayo hupandwa mwanzoni mwa mwezi julai, udongo unaotakiwa ni ule ambao kwa kina cha sm 7.62 iwe na joto la 155 c, na udongo unaotunza maji vyema maboga huweza kuzulika kama kukiwa na upungufu wa maji au kukiwa tu kuna joto dogo mno, na udongo ambao hauchuji maji vizuri, maboga hata hivyo ni magumu kwelikweli kama majani yake mengi yakiondolewa au kuharibiwa mmea unaweza
Sasa kutokana na magonjwa mengi ya mimea na leo maboga wengi huchemswa na nyuki wa asali mzinga mmoja wa nyuki kwa ekali moja hushauriwa na idara ya kilimo ya marekani kama nyuki wakiwa wachache wakulima huchavusha kwa mikono yao wenyewe maboga yasiochavushwa ipasavo
Mstari 31:
=== Mapishi ===
Maboga yana matumizi mengi sana katika mapishi
Kisha kukomaa, Maboga huchemswa, kuokwa, kupikwa kwa mvuke au hata kuchomwa. Huko amerika ya kaskazini na muhimu kwenye tamaduni zao ambao wakati wa mavuno ya kipupwe
=== Dawa ===
Chuo kikuu cha ‘East china normai ‘ kilifanya tafiti yake kwenye panya wenye kisukari, walio ichapisha julai 2007,’wakisema kuwa kikemikali zinazopatikana kwenye maboga huchangia uchangishwaji wa
|