Mauaji ya maalbino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Mauaji ya maalbino''' ni [[mauaji]] juu ya watu wenye [[ulemavu]] wa [[ngozi]].
 
Mambo yanayofanywa dhidijuu ya watu wenye ulemavu wa ngozi ni haya yafuatayo.
 
[[Ushirikina|Imani za kishirikina]] ambazo husababisha watu wasio na [[hatia]] kuuliwa kwa lengo la kutaka kutajirika kupitia watu hawa.
 
Lingine ni uwepo wa [[elimu]] finyu juu yao kuhusu umuhimu wa [[binadamu]] kuishi na si kuuliwa kama kwamba si watu ambao waliumbwa na [[Mungu]].Hivyo basi hali hii hupelekea watu wenyeulemavu kama huu kukosa haki zao za msingi kama vile kuishi.
 
Njia za kuzuia mauaji ya maalbino ni yafuatayo: uwepo wa elimu juu ya umuhimu wa maalbino na si kuuliwa. Hivyo [[jamii]] haina budi kuwapa wote elimu, waelimishwe pia kuweka [[sheria]] na [[adhabu]] kali dhidi ya watu wanaowaonea wenye ulemavu.