Ngozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 108 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1074 (translate me)
Mstari 22:
* ngozi ya ndani (demisi au dermis). Ni nene zaidi na hii ni sehemu inayoweza kukaushwa na kutumiwa kama ngozi kwa ajili ya [[viatu]], [[nguo]], kutengeneza vifaa kama mfuko au ng'oma.
Kanda za ngozi ya ndani zina hasa kazi ya kulisha na kushika epidemisi. Ndani yake kuna mishipa mingi ya damu na mishipa fahamu (neva). Ndani yake kuna pia tezi za jasho na tezi za mafuta. Kuna pia seli za [[musuli]] kwa ajili ya kukaza au kulegeza ngozi.
 
== Rangi za ngozi ==