Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Picha: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} (14) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 26:
'''Simba''' (jina la kisayansi: ''Panthera leo'') ni mnyama mkubwa mla nyama wa familia ya felidae katika ngeli ya [[mamalia]]. Maana yake simba hufanana na paka mkubwa.
 
Siku hizi simba wako hasa [[Afrika]] kusini ya [[Sahara]]. Simba wa [[Asia]] walipatikana zamani kati ya [[Uturuki]] na [[Bangladesh]] lakini ni wanyama 300 pekee waliobaki katika hifadhi ya wanyama huko [[Gujarat]] nchini [[Uhindi]]. Nususpishi nyingine zilikuwepo Ulaya na pia Afrika ya kaskazini lakini zote zimekwisha kwa sababu walivindwawaliwindwa vikali.
 
Chakula chao ni [[nyama]] inayopatikana kwa kuvinda wanyama. Tofauti na paka wengine simba huishi na kuvinda katika vikundi vyenye wanyama 10-20. Kila kundi lina eneo lake na kuitetea dhidi ya simba wengine.