Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 28:
Siku hizi simba wako hasa [[Afrika]] kusini ya [[Sahara]]. Simba wa [[Asia]] walipatikana zamani kati ya [[Uturuki]] na [[Bangladesh]] lakini ni wanyama 300 pekee waliobaki katika hifadhi ya wanyama huko [[Gujarat]] nchini [[Uhindi]]. Nususpishi nyingine zilikuwepo Ulaya na pia Afrika ya kaskazini lakini zote zimekwisha kwa sababu waliwindwa vikali.
 
Chakula chao ni [[nyama]] inayopatikana kwa kuwinda wanyama. Tofauti na paka wengine simba huishi na kuvindakuwinda katika vikundi vyenye wanyama 10-20. Kila kundi lina eneo lake na kuitetea dhidi ya simba wengine.
 
Dume anafikia urefu wa mwili pamoja na kichwa wa sentimita 170 hadi 250; kimo cha mbegani ni 120 [[cm]]. Dume mkubwa anaweza kuwa na uzito wa kilogramu 225. Jike ni mdogo wake akiwa na urefu wa 140 hadi 175 cm, kimo cha mbegani cha 100 cm na uzito wa 150 kg.