Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 32:
Dume anafikia urefu wa mwili pamoja na kichwa wa sentimita 170 hadi 250; kimo cha mbegani ni 120 [[cm]]. Dume mkubwa anaweza kuwa na uzito wa kilogramu 225. Jike ni mdogo wake akiwa na urefu wa 140 hadi 175 cm, kimo cha mbegani cha 100 cm na uzito wa 150 kg.
 
Dume anatofautishwa kirahisi kutokana na manyogamanyoya marefu ya shingoni ilhali jike hana.
 
Jike anaanza kuzaa akifikia umri wa miaka 2-3. Baada ya kuwa mzito kwa miezi 3 1/2 anazaa wadogo 2-3. Wakati mwingine idadi hii inaweza kuwa hadi wadogo 6 lakini wanaozidi 3 kwa kawaida wanakufa mapema.