Tofauti kati ya marekesbisho "Figo"

1 byte added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Kidney section.jpg|thumb|right|Kidney from ''Gray's Anatomy'']]
 
'''Figo''' ni kiungo cha mwili ambacho kazi yake ni cha kutatanisha., Mafigofigo yanafanyazinafanya kazi muhimu mbalimbali kwamuhimu katika mwili wa binadamu. Ila kazi yao ya juu ni ya kusawazisha maji ndani ya mwili kwa kuchujia na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchujia hizo, pamoja na maji na [[mkojo]]. Kwa maana mafigo yameumbika kuhisi ukolezi wa plazma ya ions kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] (hewa) na msombo kama vile amino acids, creatinine, bicarbonate na [[glukosi]], mafigo yanasawazisha shinikizo la damu , hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erthropoiesis (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza selidamu nyekundi). Sayansi ichunguzayo mafigo na maradhi ya figo inaitwa nefrolojia. Kiambishi awali, "nefro-" imaanishayo figo imetoka kwa lugha ya kigiriki ya zamani, "nefros (νεφρός)", kitambulishi "-a mafigo", maana yake kuchujia kumetoka kwa Kilatin ''rēnēs'' kumaanisha mafigo.
 
== Muundo wa figo wa kibinadamu ==