Utatu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Angelsatmamre-trinity-rublev-1410.jpg|thumb|right|220px|[[Picha takatifu]] inayodokeza [[fumbo]] la Utatu kwa kuchora [[malaika]] watatu waliolakiwa na [[Abrahamu]] huko [[Mambre]]. Ilichorwa na [[mmonaki]] [[mtakatifu]] [[Andrej Rublëv]] ([[1360]]-[[1427]]) na kwa sasa inatunzwa [[Moscow]], [[Tretjakow Gallery]].]]
[[File:Scutum-Fidei-Arma-Trinitatis.png|thumb|right|[[Mchoro]] wa [[Kilatini]] unaofafanua umoja wa Mungu na tofauti za nafsi zake tatu katika mafungamano yao.]]
{{Ukristo}}
'''Utatu''' au '''Utatu mtakatifu''' ni jina la ki[[teolojia]] linalotumika kufafanulia [[imani]] ya [[Wakristo]] wengi kwamba [[Mungu]] pekee, sahili kabisa, ni [[Nafsi]] tatu zisizotenganika kamwe: [[Baba]], [[Mwana]] na [[Roho Mtakatifu]]. Kwa agizo la [[Yesu]] watakaomuamini wanatakiwa [[ubatizo|kubatizwa]] kwa jina la hao watatu ([[Injili ya Mathayo]] 28:19).
'''Utatu''' au '''Utatu mtakatifu''' ni hali ya kuwa Watatu katika [[umoja]] kamili.
 
'''Utatu'''Jina au '''Utatu mtakatifu''' ni jinahilo la ki[[teolojia]] linalotumikalinatumika hasa kufafanulia [[imani]] ya [[Wakristo]] wengi kwamba [[Mungu]] pekee, sahili kabisa, ni [[Nafsi]] tatu zisizotenganika kamwe: [[Baba]], [[Mwana]] na [[Roho Mtakatifu]]. Kwa agizo la [[Yesu]] watakaomuamini wanatakiwa [[ubatizo|kubatizwa]] kwa jina la hao watatu ([[Injili ya Mathayo]] 28:19).
 
==Katika Biblia==
Kwa agizo la [[Yesu]] watakaomuamini wanatakiwa [[ubatizo|kubatizwa]] kwa jina la hao watatu ([[Injili ya Mathayo]] 28:19). Agizo hilo la mwisho lilifuata na kujumlisha mafundisho yake mbalimbali kuhusu Baba, kuhusu yeye mwenyewe kama Mwana na kuhusu Roho Mtakatifu.
 
==Ufafanuzi wa teolojia==
[[Umoja]] wa Nafsi hizo unatokana na [[asili]] yake pekee, yaani Baba ambaye ndani mwake anamzaa [[milele]] Mwana kama [[mwanga]] toka kwa mwanga, kama [[Neno]] au Wazo lake ([[Hekima]]), tena anamvuvia Roho Mtakatifu kama [[Upendo]] ambao unamuunganisha na Mwana na kukamilisha umoja wao.
 
Kimsingi ni kwamba Mungu pekee (Baba) anajifahamu milele (Mwana) na kwa kujifahamu anajipenda (Roho Mtakatifu).
 
==Katika matamko rasmi ya Kanisa==
Imani hiyo ilizidi kufafanuliwa hasa katika [[karne IV]], [[mitaguso]] mikuu ya kwanza ilipochukua msimamo dhidi ya [[wazushi]] waliokanusha [[umungu]] wa [[Yesu]] na wa Roho Mtakatifu. Ilipata muundo wa kudumu katika [[Kanuni ya Imani ya Nisea-KostantinopoliKonstantinopoli]] inayotumika hadi leo katika [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]].
 
==Katika liturujia==
Imani hiyo ilizidi kufafanuliwa hasa katika [[karne IV]], [[mitaguso]] mikuu ya kwanza ilipochukua msimamo dhidi ya [[wazushi]] waliokanusha [[umungu]] wa [[Yesu]] na wa Roho Mtakatifu. Ilipata muundo wa kudumu katika [[Kanuni ya Imani ya Nisea-Kostantinopoli]] inayotumika hadi leo katika [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]].
Fumbo hilo linaadhimishwa katika [[liturujia]] ya [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo wa mashariki]] (siku ya [[Pentekoste]]) na ya [[Ukristo wa magharibi]] ([[Jumapili]] inayofuata).
 
== Marejeo ==
Line 29 ⟶ 40:
* [http://www.oca.org/OCIndex-TOC.asp?SID=2&book=Doctrine&section=The%20Holy%20Trinity Eastern Orthodox Trinitarian Theology]
* [http://www.tyndale.ca/seminary/mtsmodular/reading-rooms/theology/trinity Doctrine of the Trinity Reading Room]: Extensive collection of on-line sources on the Trinity (Tyndale Seminary)
*[http://www.churchyear.net/trinitysunday.html All About Trinity Sunday]
 
{{mbegu-diniUkristo}}
 
[[Jamii:DiniMungu]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Teolojia]]