Molekuli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Atisane3.png|thumb|400px|Molekuli fulani inavyoonekana ikikuzwa.]]
'''Molekuli''' ni maungano ya kudumu ya angalau [[atomi]] mbili au zaidi. Ni pia kitengo kidogo cha kila [[dutu]]. Kama molekuli inapasuliwa ni dutu tofauti zinazojitokeza.
 
Line 10 ⟶ 11:
 
== Molekuli na [[hali maada]] ==
Katika [[gesi]] molekuli zina uhuru wa kuelea.

Katika [[gimba mango]] kila molekuli ina mahali pake.

Katika [[kiowevu]] molekuli zinakaa pamoja lakini ni rahisi kubadilishana nafasi.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.chm.bris.ac.uk/motm/motm.htm Molecule of the Month] - School of Chemistry, University of Bristol