Mfumo wa neva : Tofauti kati ya masahihisho

314 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mfumo wa neva''' ni sehemu ya mwili wa wanyama ambayo inaratibu matendo yake ya hiari na yasiyo ya hiari na kutuma taarifa kati ya viungo mbalimbali....')
 
No edit summary
'''Mfumo wa neva''' ni sehemu ya [[mwili]] wa [[wanyama]] ambayo inaratibu matendo yake ya hiari na yasiyo ya hiari na kutuma taarifa kati ya viungo mbalimbali.
 
Kwa mara ya kwanza [[tishu]] za [[neva]] zilitokea katika [[wadudu]] wa [[jamii]] ya [[minyoo]] ([[Ediacara biota]]) miaka milioni 550 hadi 600 hivi iliyopita.
 
Spishi nyingi za wanyama zina sehemu kuu mbili, sehemu ya kati ya neva na sehemu ya pembeni. sehemu ya kati ya neva inajumuisha [[ubongo]] na mrija wa uti wa mgongo na sehemu ya pembeni inajumuisha neva zilizofungwa kwenye kambabando zilizounganishwa kwenye sehemu ya kati ya neva na sehemu nyingine za mwili.
 
{{mbegu-sayansi}}
31

edits