Tofauti kati ya marekesbisho "Ulemavu"

605 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
 
Nchini Tanzania katiba ya 1977 ilitambua haki za watu wenye ulemavu na kukataza aina zote za ubaguzi. Mnamo mwaka wa 2004, Wizara ya kazi, Maendeleo ya Vijana na Michezo ilitoa Sera ya Taifa ya watu wenye Ulemavu, inayosisitiza kujitolea kwa wizara hiyo katika kuhakikisha kwamba kuna haki sawa kwa watu wenye ulemavu.
 
==Michezo ya walemavu==
[[Picha:Wheelchair basketball at the 2008 Summer Paralympics.jpg|250px|thumbnail|Mechi ya mpira wa kikapu kwenye Paralimpiki 2008]]
Kuna nchi nyingi ambako walemavu wana klabu za [[michezo]] au kuendesha michezo katika vitengo vya pekee vya klabu za kawaida. Kwa kawaida wanatekeleza michezo ya kawaida lakini kufuatana na kanuni zinazolingana na hitilafu zao.
 
Kwenye ngazi ya kimataifa kuna mashindano makubwa ambayo ni hasa
*Michezo ya paralimpiki (Paralympics) kwa walemavu wa mwili
*Olimpiki za pekee (Special Olympics) kwa walemavu wa akili
*Deaflympics kwa watu wasiosikia
 
==Marejeo==