Wasukuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Bundesarchiv Bild 105-DOA0044, Deutsch-Ostafrika, Einheimische Bevölkerung.jpg|thumb|right|Kijiji kimojawapo cha Wasukuma mwanzoni mwa [[karne ya 20]] ([[1906]] - [[1918]]).]]
'''Wasukuma''' ni [[kabila]] kubwa zaidi nchini [[Tanzania]]: linakadiriwa kufikia watu [[milioni]] 5.57, [[idadi]] inayowakilisha [[asilimia]] 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla.
 
==Jina==
Jina "Wasukuma" lina maana ya watu wa upande wa "[[kaskazini]]", lakini maana hii haiwakilishi maana halisi ambayo watu wengi huitafsiri kwa mfano Wasukuma hutumia alama ya utambulisho ([[dira]]) kwa eneo fulani kwa viashirio vya makabila, kwa mfano wa jina kama hili: '''Kiya'''. Hili lina maana ya [[mashariki]] ambako ni [[mawiomaawio]] ya [[jua]],. huuHuu ni utambulisho ambao haukufananishwa ama kuitwa kwa jina la kabila fulani. Mfano mwingine ni upande wa "Dakama" ambapo yatambulisha kama eneo la Unyamwezi lakini zaidi ya mpanuko wake ni upande wa "kusini". Zaidi ya hapo neno hili hutumiwa sana na kabila la [[Wanyamwezi]] ili kutambulisha eneo la Wasukuma ambapo Wasukuma nao husema "dakama". Upande mwingine ambao unapewa alama ya utambulisho ni "Ushashi" maana yake ni upande wa kabila la [[Washashi]] na neno hili Washashi ni mkusanyiko wa makabila ya [[mkoa wa mara]], japo pia neno hili "shahi" linamaanisha kabila la [[Wakurya]] ambalo pia mpanuko wake unakomea hapo, ambapo zaidi ya hapo eneo zima la upande huo unamaanisha upande wa kaskazini. Upande wa mwisho kutambulishwa ni "Ngw’eli", neno hili halikupewa kabila na badala yake linawakilisha upande wa magharibi (dira), ambako ni [[machweo]] ya jua. "Wasukuma wenyewe hulirejea jina hili kama "Basuguma" kwa wingi na "Nsuguma" kwa umoja.
 
==Eneo==
Line 9 ⟶ 10:
Eneo la kaskazini la makazi yao ni katika mbuga maarufu [[Serengeti]]. Familia za Wasukuma wengi sana wamehamia maeneo ya kusini kuelekea [[mkoa wa Rukwa]] ambao baadae umegawanywa na kuzaa [[mkoa wa Katavi]], wakipita maeneo ya kabila la [[Wapimbwe]] na hivyo kufanya makazi katika eneo hili la [[kijiji]] cha Wapimbwe.
 
Eneo hili linakadiriwa kuwa na ukubwa wa [[mita za mraba]] 910 hadi 1200 sawa na futi {{kubadili: | 3000 | na | 4000 | ft | disp = flip}}.
 
[[Mwinuko]] wake unakadiriwa kuwa [[inchi]] [[ishirini|20]] hadi [[arobaini ({{convert | 20 | wa | 40 | katika | cm | disp = pato tu}})]] ya [[ujazo]] wa [[mvua]] kutoka Novemba hadi mwezi Machi.
 
Kiwango cha juu cha joto hutegemea angalau ni kutoka {{convert | 26 | ya | 32 | C | F}} wakati kiwango cha chini nyakati za usiku hushuka na kufikia {{convert | 15 | °C}}.
 
== =Maeneo yaliyo na madini ===
[[Idadi ya watu]] inaongezeka kwa [[kasi]] na hivyo pia kuongezeka kwa [[wakulima]] wa [[mboga|mbogamboga]].
Wasukuma wamezungukwa na madini mbalimbali. Yafuatayo ni maeneo yaliyo na madini:
1. [[Mwadui]] (Huku kuna madini ya almasi ambayo kwa kiwango kikubwa huipatia [[serikali]] [[pesa za kigeni]])
2. [[Maganzo]] (Vilevile eneo hili limewekwa kwa ajili ya [[wachimbaji wadogowadogo]] wa almasi, eneo hili liko magharibi ya Mwadui.)
 
==Shughuli za kiuchumi==
 
Shughuli kuu za kiuchumi kwa Wasukuma ni [[kilimo]], [[uvuvi]], [[ufugaji]] na [[biashara]].
 
Line 27 ⟶ 30:
Wasukuma pia wanajihusisha sana na kilimo cha mazao ya [[nafaka]] na [[mifugo]] ya aina mbalimbali. Maeneo ya Shinyanga wanalima mazao ya nafaka kama [[mahindi]] na mpunga.
 
[[Idadi ya watu]] inaongezeka kwa [[kasi]] na hivyo pia kuongezeka kwa [[wakulima]] wa [[mboga|mbogamboga]].
== Maeneo yaliyo na madini ==
 
Wasukuma wamezungukwa na madini mbalimbali. Yafuatayo ni maeneo yaliyo na madini:
1. [[Mwadui]] (Huku kuna madini ya almasi ambayo kwa kiwango kikubwa huipatia [[serikali]] [[pesa za kigeni]])
2. [[Maganzo]] (Vilevile eneo hili limewekwa kwa ajili ya [[wachimbaji wadogowadogo]] wa almasi, eneo hili liko magharibi ya Mwadui.)
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
Line 37 ⟶ 36:
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Mwanza]]
[[Jamii:Mkoa wa Geita]]
[[Jamii:Mkoa wa Shinyanga]]
[[Jamii:Mkoa wa Simiyu]]