Ulemavu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Handicapped Accessible sign.svg|thumbnail|[[Alama]] ya [[jengo]] linalofaa kwa watu wanaotumia [[kiti cha magurudumu]].]]
'''Ulemavu''' ni hali ya kuwa na [[hitilafu]] ya kudumu mwilini[[mwili]]ni au akilini[[akili]]ni inayomzuia mtu kutekeleza [[shughuli]] zilizo kawaida katika [[maisha]] ya [[jamii]]. Unamwekea mtu mipaka asiweze kutekeleza shughuli fulani katika maisha yake, tofauti na watu wengine.
 
==Hitilafu na ulemavu==
[[Shirika la Afya Duniani]] (WHO) limeunda mfumo wa kupanga alama za ulemavu. Hapa kuna tofauti kati ya
*hitilafu ''(kwa [[ing.Kiingereza]] impairment)'' kama kukosa uwezo wa kutumia [[kiungo]] cha mwili kama kawaida
*ulemavu (''ing. disability)'' kama hitilafu inasababisha kukosa uwezo wa kutekeleza shughuli zinazotekelezwa na "watu wa kawaida".
*hasara au kikwazo ''(ing. handicap)'' inayoweza kupatikana kwa mtu mwenye ulemavu akishindwa kutekeleza shughuli katika jamii.
 
Kwa mfano, [[mtoto]] aliyeambukizwa [[ugonjwa wa kupooza]] ''(ing. cerebral palsy)'' anabaki na hitilafu ya viungo vya miguu: hawezi kuvikunja wala haiwezi kubebakustahimili [[uzito]] wa mwili wake. Hitilafu hiihiyo inamzuia kutembea kwa njia ya kawaida. Kama [[Tiba|hatibiwi]], hitilafu inaweza kuongezeka kwa sababu musuli[[misuli]] ya miguu zinajikazainajikaza zaidi na zaidi.

Kukosa uwezo wa kutembea ni ulemavu. Lakini kiwango chake kinaweza kupunguzwa kwa tiba na vifaa vya pekee. Akijifunza kutembea kwa kutumia vyuma vilivyofungwa kando laya miguu, vizuizi vya kutekeleza shughuli vinapungua sana. Kutegemeana na mazingira anapoishi ataona hasara ndogo au kubwa zaidi akitafuta njia yake katika maisha.
[[file:Pieter Bruegel d. Ä. 024.jpg|thumb|250px|Vilema, [[picha]] ya [[Pieter Bruegel Mzee]], [[Uholanzi]], mnamo 1568.]]
==Ulemavu wa kimwili==
Ulemavu wa kimwili unatoknanaunatokana na hitilafu yoteyoyote inayowekainayoiwekea mipaka kazi ya kawaida ya viungo vya mwili kama vile [[mikono]] au miguu.
 
==Ulemavu wa milango ya fahamu==
Hapo ni hasa hitilafu zinazohusu uwezo wa kuona au kusikia. Kuna pia watu wenye hitilafu za kunusukunusa au kuonja.
 
==Ulemavu wa akili==
Hitilafu mbalimbali katika [[ubongo]] na [[mfumo wa neva]] zinaweza kuonekana katika
*kuchelewa kwa watoto kuketi, kutambaa, kutembea au kusema.
*matumizi ya [[lugha]]
*matatizo ya kukumbuka
*matatizo ya kujifunza kanuni za kijamii
*matatizo ya kutambua na kuelewa matatizo na kutafuta [[suluhisho]]
*uhaba wa uwezo wa kujitunza, kama kuvaa, kula na kukuta njia.
 
Ulemavu wa kiakili unatokea kwa viwango tofauti sana. Mara nyingi hautambuliki hadi mtoto anaingiaanapoingia [[shule]] na kuchelewahuko anachelewa kujifunza. Hata hapo ni lazima kutofautisha kama tatizo ni ulemavu wa akili au ulemavu wa kujifunza tu. Wengine wanaishia kiwango cha elmu[[elimu]] kinacholingana na uwezo wa mtoto wa wastani mwenye miaka 9-12<ref>[http://www.aafp.org/afp/2000/0215/p1059.html Identification and Evaluation of Mental Retardation, American Family Physician, Feb 15, 2000]</ref> na wanaweza kujifunza [[kazi]] inayowawezesha kudumisha maisha yao wakiwa [[watu wazima]].
 
==Haki za watu wenye ulemavu==
[[Mwaka]] [[2006]] [[Umoja wa Mataifa]] ulianzisha [[Mkataba wa kimataifa kuhusu haki za watu wenye ulemavu]] (UN Convention on the Rights of Persons with Disabilities = UNCRPD) kwa [[shabaha]] ya kulinda na kuboresha hali ya walemavu [[milioni]] 650 dunani. Hadi mwaka 2015 mataifa 159 yalita sahihi mkataba huu na 154 kati yao yaliidhinisha hatua hii. Mataifa yanayokubali mkataba huu yamepokea wajibu wa kuhakikisha haki sawa za elimu, ajira, kumiliki mali na kuoa sawa na watu wote. Ni marufuku kuwatumia bila kibali kwa majaribio ya kigangaduniani.
 
Hadi mwaka [[2015]] mataifa 159 yaliutia [[sahihi]] [[mkataba]] huo na 154 kati ya hayo yaliidhinisha hatua hiyo. Mataifa yaliyokubali mkataba huo yamepokea [[wajibu]] wa kuhakikisha [[haki]] sawa za elimu, [[ajira]], kumiliki [[mali]] na [[ndoa|kuoa]] sawa na watu wote. Ni [[marufuku]] kuwatumia bila [[kibali]] kwa [[majaribio ya kiganga]].
Taasisi na shirika mbalimbali zinafuatilia jinsi gani mashariti haya yanatekelezwa na serikali mbalimbali. Katika Afrika ya Mashariki kuna kwa mfano United Disabled Persons of Kenya (UDPK) au Shirikisho la Vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
 
[[Taasisi]] na shirika mbalimbali zinafuatilia jinsi gani masharitimasharti hayahayo yanatekelezwa na [[serikali]] mbalimbali. KatikaKwa mfano, katika [[Afrika ya Mashariki]] kuna kwa mfanokuna ''United Disabled Persons of Kenya'' (UDPK) au ''Shirikisho la Vyama vya watuWatu wenyeWenye ulemavuUlemavu'' [[Tanzania]].
Nchini Tanzania katiba ya 1977 ilitambua haki za watu wenye ulemavu na kukataza aina zote za ubaguzi. Mnamo mwaka wa 2004, Wizara ya kazi, Maendeleo ya Vijana na Michezo ilitoa Sera ya Taifa ya watu wenye Ulemavu, inayosisitiza kujitolea kwa wizara hiyo katika kuhakikisha kwamba kuna haki sawa kwa watu wenye ulemavu.
 
Nchini Tanzania katiba ya [[1977]] ilitambua haki za watu wenye ulemavu na kukataza aina zote za [[ubaguzi]]. Mnamo mwaka wa 2004, [[Wizara ya kazi, Maendeleo ya Vijana na Michezo]] ilitoa [[Sera ya Taifa]] ya watu wenye Ulemavuulemavu, inayosisitiza kujitolea kwa [[wizara]] hiyo katika kuhakikisha kwamba kuna haki sawa kwa watu wenye ulemavu.
 
==Michezo ya walemavu==
[[Picha:Wheelchair basketball at the 2008 Summer Paralympics.jpg|250px|thumbnail|[[Mechi]] ya [[mpira wa kikapu]] kwenye [[Paralimpiki]] mwaka [[2008]]]]
Kuna nchi nyingi ambako walemavu wana [[klabu]] za [[michezo]] au kuendesha michezo katika vitengo vya pekee vya klabu za kawaida. Kwa kawaida wanatekeleza michezo ya kawaida lakini kufuatana na kanuni zinazolingana na hitilafu zao.
 
Kwenye ngazi ya kimataifa kuna mashindano makubwa ambayo ni hasa
Line 46 ⟶ 50:
<references/>
 
==Viungo vya Njenje==
 
==Viungo vya Nje==
{{commons cat|Disabled people}}
*[http://shivyawata.or.tz/ Shirikisho la Vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania SHIVYAWATA - Tanzania Federation of Disabled People’s Organizations]
Line 85 ⟶ 88:
* {{cite journal |last=Longmore |first=Paul |date=July 2009 |title=Making Disability an Essential Part of American History |journal=OAH Magazine of History |volume=23 |pages=11–15|isbn=|issn=0882-228X |doi=10.1093/maghis/23.3.11 |issue=3}}
* {{cite journal | author = Masala C, Petretto DR | title = From disablement to enablement: conceptual models of disability in the 20th century | journal = Disability and Rehabilitation | volume = 30 | issue = 17 | pages = 1233–1244 | year = 2008 | pmid = 18821191 | doi = 10.1080/09638280701602418 | issn = 0963-8288 }}
 
 
[[Category:Afya]]
[[Jamii:Ubaguzi]]