Jinsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q290 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sperm-egg.jpg|thumb|right|Uzazi wa kijinsia wa binadamu na wanyama wengi unafanyika kwa mbegu mojawapo kati ya nyingi zinazobebwa na [[manii]] ya mzazi wa kiume kuungana na [[kijiyai]] cha mzazi wa kike. Picha hii iliyokuzwa sana inaonyesha mbegu inayojipenyeza katika kijiyaji cha duara.]]
 
'''Jinsia''' ni hali ya [[viumbe hai]] vingiwengi kuwa vyawa kiume au vyawa kike, jambo muhimu katika mpango wa kuendeleza [[uhai]] kupitia [[uzazi]].
 
== Binadamu ==
Kati ya wanadamu hali ya kuwa [[mwanamume]] au [[mwanamke]] inategemea [[nukta]] ya [[utungaji mimba]] na kudumu moja kwa moja.
 
Inatokana na [[milioni]] za [[mbegu]] zilizomo kwa kawaida katika [[shahawa]] ya mwanamume, ambazo baadhi yake ni za kiume (zenye [[chembeuzi Y]]) na baadhi za kike [[chembeuzi X]].
Kati ya wanadamu hali ya kuwa [[mwanamume]] au [[mwanamke]] inategemea nukta ya utungaji mimba na kudumu moja kwa moja.
 
[[Kijiyai]] cha mwanamke hakichangii [[uainishaji]] wa jinsia ya [[mtoto]], kwa kuwa kina [[pea]] ya [[chembeuzi X]] tu.
Inatokana na milioni za mbegu zilizomo kwa kawaida katika [[shahawa]] ya mwanamume, ambazo baadhi yake ni za kiume (zenye [[chembeuzi Y]]) na baadhi za kike [[chembeuzi X]].
 
Kijiyai cha mwanamke hakichangii uainishaji wa jinsia, kwa kuwa kina [[chembeuzi X]] tu.
 
Ikiwa mbegu inayowahi kujipenyeza katika kijiyai cha mwanamke ni ya kiume, [[mimba]] itakuwa ya kiume (XY), kumbe ikiwahi moja ya kike, mimba itakuwa ya kike (XX).
Kulingana na tofauti hiyo, binadamu huyo mpya atazidi kukua na kutokeza [[viungo vya uzazi|viungo maalumu vya uzazi]] kama:
** [[uterasi]] (mji wa mimba), [[ovari]] na [[kuma]] upande wa mwanamke au
** [[mboo]] na [[korodani]] upande wa mwanaume.
 
Viungo hivyo vitakomaa wakati wa [[ubalehe]].
 
Ni pia muhimu kazi ya [[chachu za jinsia]] ([[homoni]] za jinsia) zilizo tofauti kwa mwanamume na mwanamke.
 
Sehemu fulani ya tofauti kati ya jinsia mbili hutegemea pia [[utamaduni]].
 
== Hali za watu zisizo za kawaida ==
Katika kila [[jamii]], hasa zilizoendelea, kuna [[idadi]] fulani ya watu ambao haliutambuzi yawa jinsia si yawa kawaida kutokana na hali ya pekee ya vyembeuzichembeuzi (hasa XYY na XXY) au uwepo wa homoni za jinsia nyingine ndani yao au uwepo wa viungo vya uzazi mchanganyiko au visivyo kamili au visivyoeleweka. Hata hivyo chembeuzi Y inathibitisha kuwa mhusika ni wa kiume.
 
Watu wengine wana tatizo la [[utasa]], ambalo linazidi kuongezeka hasa katika [[nchi zilizoendelea]] hata kuvuka [[asilimia]] 10% ya binadamuwakazi.
Katika kila jamii, hasa zilizoendelea, kuna idadi fulani ya watu ambao hali ya jinsia si ya kawaida kutokana na hali ya pekee ya vyembeuzi (hasa XYY na XXY) au uwepo wa homoni za jinsia nyingine ndani yao au uwepo wa viungo vya uzazi mchanganyiko au visivyo kamili au visivyoeleweka. Hata hivyo chembeuzi Y inathibitisha kuwa mhusika ni wa kiume.
 
Wengine, kwa sababu zisizoelezeka vya kutosha na [[biolojia]] wala [[saikolojia]], hawajisikii ipasavyo na jinsia yao (hasa [[ubaridi wa kijinsia]] na elekeo la [[ushoga]] na [[usagaji]]).
Watu wengine wana tatizo la [[utasa]], ambalo linazidi kuongezeka hasa katika nchi zilizoendelea hata kuvuka asilimia 10% ya binadamu.
 
Wengine, kwa sababu zisizoelezeka vya kutosha na [[biolojia]] wala [[saikolojia]] hawajisikii ipasavyo na jinsia yao (hasa [[ubaridi wa kijinsia]] na elekeo la [[ushoga]] na [[usagaji]]).
 
== Viumbe hai visivyozaliana kijinsia ==
 
Si viumbe vyote vinavyoendeleza uhai kwa njia ya uzaliano kijinsia;
* [[viumbehai vya mfuto]] kama [[bakteria]] vyenye mwili wa [[seli]] moja tu vinatumia uzaliano peke ambako seli hujigawa.
* [[mimea]] kadhaa huzaa kwa kutenga tu sehemu ya [[mzizi|mizizi]] inayoanzisha mmea mpya; [[mbinu]] hiyo hiyohiyohiyo hufuatwa kwa kutumia [[kipandikizi]] cha kupanda katika [[kilimo]].
 
Kuna pia njia ya kujizalisha ambayo ni namna ya pekee ya uzalioni kijinsia. Mimea kama [[karanga]] na pia wanyama kadhaa mfano [[vyawa]] na [[samaki]] kadhaa wanaweza kuanzisha wadogo bila [[manii]] ya kiume. Wanyama kama [[mategu]] ni [[huntha]] wanaobeba manii pamoja na vijiyai mwilini na wanzaawanazaa ndani yao.
 
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Jinsia]]
[[Jamii:Uzazi]]
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Saikolojia]]