Upumuo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:X-ray video of a female American alligator (Alligator mississippiensis) while breathing - pone.0004497.s009.ogv|thumb|Video ya [[mnyama]] wa kike [[jamii]] ya [[mamba]] akipumua.]]
'''Upumuo''' ni kitendo cha kupelekakuvuta [[hewa]] ndani na nje ya [[mapafu]] au [[oksijeni]] kupitia [[viungo]] vingine kama vile [[matamvua]] ya samaki, halafu kutoa gesi ya CO<sub>2</sub> pamoja na hewa iliyotumiwa.
 
Kuna pia upumuo wa ndani ambayo ni kazi ya seli za mwili kupokea oksijeni na kuitumia kwa mchakato wa [[oksidisho]] ndani yao.
Upumuo ni sehemu mojawapo ya michakato ya lazima kwa kudumisha [[uhai]].
[[Picha:Diafragma ademhaling.gif|thumbnail||'''Kazi ya mapafu katika upumuo''' <br /><small>(Njia ya hewa inaanza mdomoni na puani ; musuli za kiwambo tumboni (njano-nyekundu) zinajikaza au kulegeza na hivyo kupanua au kupunguza ukubwa wa mapafu (bluluu nyeupe/zambarau)</small>]]
 
==Hewa ya kuvutwa ndani na ya kutoka nje==
Matokeo mengine ya upumuo ni kuondoa [[kabonidaioksidi]] na kupunguza [[maji]] mwilini.
Binadamu hupumua takriban mara 23,000 kila siku akihamisha mita za mjazo 12.5 kwa jumla.
*Hewa tunayovuta ndani ya mapafu ni hewa ya kawaida yenye asilimia 78 % za [[nitrojeni]], 21 % za [[oksijeni]], mvuke wa maji, [[gesi adimu]] kwa viwango vidogo na 0,04 % [[dioksidi kabonia]] (CO<sub>2</sub>).
*Hewa tunayotoa nje bado ina asilimia 78 % za [[nitrojeni]], lakini ni 16 % za oksijeni pekee zilizobaki na dioksidi kabonia imekuwa 4 %.
*Asilimia kubwa ya oksijeni iliyopungua imeoksidisha na [[glukosi]] ndani ya seli za mwili kwa kutengeneza nishati.
 
==Njia za upumuo==
Kwa wanyama wenye mapafu hewa inavutwa ndani kupitia mdomo au pua. Hewa hii huitwa pumzi.
 
Kazi hii inatekelezwa kwa njia ya kukaza au kulegea kwa [[musuli]] za kiwambo cha tumboni kinachotenganisha tumbo na nafasi ya mapafu. Mabadiliko haya yanabadilisha nafasi ya mapafu na shindikzo ndano yao na kusababisha kuvutwa au kusukumwa kwa hewa.
 
Kwa [[samaki]] na wanyama wengine wanaoishi chini ya maji wenye matamvua maji yenye hewa ndani yake inapitishwa kwenye majani ya ngozi zinazofanya matamwua na hewa inapokelewa na vyombo vya damu kupitia ngozi ya matamvua ambayo ni nyembamba sana. Kuna pia wadudu kadhaa kwenye nchi kavu wenye matamvua.
 
[[Wadudu]] huwa na mabomba membamba ''([[ing.]] trachea)'' yanayoelekea ndani ya miili yao na hewa inaingia hapa; ngozi nyembamba ndani ya mwili inaruhusu kuingia kwa oksijeni mwilini.
 
==Marejeo==