Mapafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Diafragma ademhaling.gif|thumbnail||'''Kazi ya mapafu''' <br /><small>(Njia ya hewa inaanza mdomoni na puani; misuli ya kiwambo tumboni (njano-nyekundu) zinajikaza au kulegeza na hivyo kupanua au kupunguza ukubwa wa mapafu (buluu nyeupe/zambarau)</small>]]
 
'''Mapafu''' ni sehemu ya [[mwili]] inayoingiza [[oksijeni]] mwilini na kuituma kwenye [[seli]] za mwili. Ni ogani kuu ya [[upumuo]].
 
Ni kawaida kwa wanyama wa [[faila]] ya [[chordata]] walio na [[uti wa mgongo]] na kupumua [[hewa]].