Dioksidi kabonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 93 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1997 (translate me)
No edit summary
Mstari 4:
Katika mazingira ya kawaida hutokea kama gesi inayoganda kwenye halijoto chini ya -78.5[[°C]]. Katika hali ya gesi haina ladha wala harufu.
 
Dioksidi kabonia inatokea wakati viumbehai wanapumua na kutoa [[pumzi]]; inatokea zaidi wakati wa kuchoma mada ogania yaani mada yenye kaboni ndani yake. Mimea inahitaji gesi hii kwa mchakato wa [[usanisinuru]] ilimojenga chakula chao. Inabadilisha CO<sub>2</sub> kuwa [[sukari]] aina za [[glukosi]].
 
Kiasi cha kaboni dioksidi hewani imeongezeka katika miaka 150 iliyopita kutokana na kuchoma kwa [[fueli kisukuku]] kama [[makaa mawe]] na [[mafuta ya petroli]]. Uchumi wa viwanda, uzalishaji umeme na usafiri kwa magari yenye [[Injini mwako ndani]] kumeleta kuchomwa kwa kiasi kikubwa cha fueli hizi ambazo yote zina kaboni ndani inayomwagwa sasa kwenye angahewa kwa umbo la dioksidi kabonia.