Msichana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Girl--05Bozo girl.jpg|thumb|350px|right|Msichana [[Afrika|Mwafrika]] wa [[Mali]].]]
[[Picha:Girl--05.jpg|thumb|350px|right|Msichana [[Mzungu]].]]
{{commonscat|Girls}}
'''Msichana''' ni [[mwanamke]] ambaye hajafikia [[ukomavu]] wa [[utu uzima]], ni [[kijana]] wa [[jinsia]] ya kike, ijapokuwa si tena [[mtoto]] tu wa [[binadamu]].
{{wiktionary}}
 
'''Msichana''' ni [[mtoto]] wa [[kike]]. Ni binadamu mwanamke ambaye haja komaa, japokuwa vijana wa kike pia huweza kuitwa wasichana. Wakati mwingine watu wakubwa bado hutaja wanawake waliokuwa kama wasichana, hasa katika hali ya kutoka nao usiku katika starehe fulani.
Wakati mwingine watu wakubwa bado hutaja kama 'wasichana' wanawake waliokua, hasa katika hali ya kutoka nao [[usiku]] katika [[starehe]] fulani.
 
Wasichana wadogo bado wana [[miili]] ya kitoto. Haikomai hadi atakapofikiawatakapofikia [[umri]] wa [[balehe]] (huenda wakifikawakafikia umri wa miaka 11-13 hadi 13n.k.) ambapo miili yao inaanza kukomaa na kuwafanya [[mwanamkewanawake]] kamili. Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yao sehemu za kiunoni na mabegani zinakuwa kubwa na wanaanza kuwa na [[hedhi]].
 
Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na ma[[ziwa]], maumbo yao sehemu za [[kiuno]]ni na ma[[bega]]ni zinakuwa kubwa na wanaanza kuwa na [[hedhi]].
 
Wasichana wadogo bado wana miili ya kitoto. Haikomai hadi atakapofikia umri wa balehe (huenda wakifika umri wa miaka 11 hadi 13) ambapo miili yao inaanza kukomaa na [[mwanamke]] kamili. Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yao sehemu za kiunoni na mabegani zinakuwa kubwa na wanaanza kuwa na [[hedhi]].
== Tazama pia ==
* [[Mwanamke]]
* [[Mvulana]]
 
== MarejeoViungo menginevya nje ==
{{commonscat|Girls}}
{{wiktionary}}
* http://www.girlsnames.co.uk/
* http://www.names4muslims.com/baby-girls.php
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Binadamu]]
[[Jamii:Jinsia]]