Marudio (fizikia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|220px|Idadi ya mawimbi yanayopita katika dakika ni kipimo cha marudio Picha:FrequencyAnimation.gif|thumbnail|<small>Mfano...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Falenawodzieanim.gif|thumb|220px|Idadi ya mawimbi yanayopita katika dakika ni kipimo cha marudio]]
[[Picha:FrequencyAnimation.gif|thumbnail|<small>Mfano wa taa inayowaka kwa marudio ya a) <math>f = 0,5\,\text{Hz}</math>, b)<math>f = 1\,\text{Hz}</math> na c) <math>f = 2\,\text{Hz}</math>.. f ni alama ya Hz katika fomula; 1 Hz inamaanisha ya kwamba taa inawaka mara 1 kila sekunde. 0.5 Hz inamaanisha inawaka kila sekunde 2 = mara 0.5 kila sekunde 2; 2 Hz inawaka mara 2 kila sekunde. T ni alama ya wakati katika fomula, inataja kipindi cha marudio yaani ni sekunde ngapi kutoka kuwaka hadi kuwaka.</small>]]
'''Marudio''' ni kipimo kichachosema ni mara ngapi tukio linatokea tena na tena kila baada ya kipindi fulani.