Tofauti kati ya marekesbisho "Uhai"

934 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
| width = 220
| image1 = Hoh rain forest trees.jpg
| caption1 = [[MtiMiti]] ukikuaikikua katika [[Hoh Rainforest]]
| image2 = Grand prismatic spring.jpg
| caption2 = Picha toka angani[[anga]]ni ya [[mikrobi]] kwenye [[Grand Prismatic Spring]] huko [[Yellowstone National Park]]
}}
'''Uhai''' kwa maana ya [[biolojia]] ni jumla ya [[tabia]] zinazotofautisha [[kiumbehai]] na [[maada]] kwa jumla. KilaHata hivyo kila uhai ulioweza kutazamiwakuchunguzwa na [[sayansi]] unapatikana pamoja na maada.
 
Kati ya tabia hizo kuna ni uwezo wa kushawishiwa na [[mazingira]], kujipanga, kukua, [[metaboli]] na kuzaa. Kila tabia peke yake haifanyi uhai, kwa sababu mojamoja zinaweza kutokea pia kwa [[mata]] isiyo hai: [[fuwele]] zinakua, [[ulimi wa moto]] una umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha [[molekuli]] za [[nta]] pamoja na [[oksijeni]] ya [[hewa]]ni [[Dioksidi kabonia|dioksidi kabonia]] na [[maji]]. Kwa hiyo ni jumla ya tabia, lakinizinazothibitisha kwauwepo sababuwa kunauhai, tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote kwa pamoja kumbelakini hadi leo [[wataalamu]] hawajapatana bado ni ma[[sharti]] gani yanayohitajika, ilikwa kuweposababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote kwa "uhai"pamoja.
 
Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwawanaopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa [[seli]].
 
== Dunia kama mahali pa uhai ==
[[Dunia]] yetu ni [[sayari]] pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo [[binadamu]] na viumbeviumbehai vingine vinawezawanaweza kuishi.
 
Kuna sababu mbili:
# dunia yetu ina [[angahewa]] yenye [[asilimia]] 78 ya [[naitrojini]], asilimia 21 ya [[oksijini]] na asilimia 1 ya aina nyinginezo za [[hewa]], na kwa sababu hii uhai na maisha yanamakinika katika [[ardhi]], kinyume na sayari nyinginezo.
 
==Asili ya uhai na uenezi wake==
{{mbegu-sayansi}}
Inakadiriwa kwamba dunia ina miaka [[bilioni]] 4.54, na kwamba uhai uliweza kujitokeza juu yake walau miaka bilioni 3.5 iliyopita, baada ya ganda la la nje la dunia ilikauka. Ushahidi wa zamani zaidi ulipatikana huko [[Greenland]] (mabaki ya viumbe hai wa miaka bilioni 3.7 iliyopita). Hata hivyo wataalamu wengine wanakadiria miaka bilioni 4.25 na hata 4.4 iliyopita.
 
Jinsi uhai ulivyoweza kuanza haijajulikana, ingawa zimependekezwa [[dhana]] mbalimbali.
 
Hakika, baada ya kuanza, uhai umejitokeza kwa namna nyingi sana ambazo zimeainishwa na [[wanabiolojia]].
 
Uhai umeweza kustawi au kudumu katika mazingira tofauti sana, lakini zaidi ya 99% za [[spishi]] zote zilizowahi kutokea (zaidi ya bilioni 5) kwa sasa zimetoweka.
 
Makadirio kuhusu zile zilizopo yanataja spishi [[milioni]] 10 hadi 14: kati ya hizo, milioni 1.2 tu zimechunguzwa, wakati zaidi ya asilimia 90 bado.
 
{{mbegu-sayansibiolojia}}
 
[[Jamii:Biolojia]]