Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+viungo |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Mfumo mmeng'enyo.png|thumb|500px|right|Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula wa Binadamu<br />
Tasfiri: [[utumbo
]]
'''Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula''' ni jumla ya viungo mwilini mwa [[binadamu]] na [[mamalia]] wengine vinavyofanya kazi ya kuingiza [[chakula]] mwilini, kukisagasaga, kukisafirisha ndani ya mwili, kukimeng'enya, kuondoa lishe ya mwili mdami yake, na kuondoa mabaki nje ya mwili. Kwa hiyo mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni njia yote kuanzia [[mdomo]] hadi [[mkundu]].
|