Kinywa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 109 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9635 (translate me)
nyongeza
Mstari 1:
[[File:Mouth illustration-Otis Archives.jpg|thumb|Kielezo cha kinywa cha [[binadamu]]]]
 
'''Kinywa''' ni sehemuuwazi ndani ya mwilikichwa iliyemwenye pamojashughuli na:tofauti [[jino|meno]],kwa [[ulimi]]binadamu na [[ufizi|fizi]].wanyama wengi wenye uti wa mgongo:
 
* ni mahali pa kuingiza [[chakula]] mwilini hivyo ni chanzo cha [[mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]]
* ni nafasi ya kuingiza hewa mwilini hivyo pamoja na pua ni chanzo cha mfumo wa upumuo
* ni mahali pa kutokea kwa sauti hivyo ni sehemu muhimu ya uwezo wetu wa kuwasiliana na wengine
 
Sehemu za kinywa ni pamoja na: [[jino|meno]], [[ulimi]] na [[ufizi|fizi]].
 
{{mbegu-anatomia}}