Kinywa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza
No edit summary
Mstari 5:
* ni mahali pa kuingiza [[chakula]] mwilini hivyo ni chanzo cha [[mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]]
* ni nafasi ya kuingiza hewa mwilini hivyo pamoja na pua ni chanzo cha mfumo wa upumuo
* ni mahali pa kutokea kwa [[sauti]] ambako sauti inayotengenezwa kooni inapokea umbo lake kwa msaada wa ulimi na midomo hivyo ni sehemu muhimu ya uwezo wetu wa kuwasiliana na wengine
 
Sehemu za kinywa ni pamoja na: [[jino|meno]], [[ulimi]] na [[ufizi|fizi]].