Mata ogania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Mata ogania''' (pia '''madamaada ogania''') ni [[mata]] inayotokana na [[viumbehai]].
 
==Asili ya mata ogania==
Viumbehai kama [[bakteria]], [[mimea]] na [[wanyama]] huwa na [[miili]] inayofanywa na [[molekuli]] kubwa. Molekuli za viumbehai ni kubwa kwa sababu mchakato wa [[uhai]] unahitaji [[tabia]] kama [[uwezo wa kuzaa]], kukua na [[umetaboli]] na shughuli hizihizo zinatekelezwa na molekuli za pekee mwilini zenye tabia maalumu.
 
Baada ya [[kifo]] cha kiumbehai, mchakato wa uhai ndani ya mwili wake unakwisha na molekuli za mwili zinaanza kuoza. Kuoza kunasababishwa mara nyingi na vyembehai au [[bakteria]] ndogo zinazoanza kula sehemu za miili iliyokufaambayo imekufa na kupoteakupotewa na uwezo wa kujikinga dhidi ya bakteria hizihizo zinazopatikana muda wote lakini huzuiliwa na [[kinga]] laza mwili hai.
 
Mchakato wa kuoza unavunja molekuli na kuacha [[kampaundi]] mbalimbali zisizotokea katika [[dunia]] pekeepeke yao isipokuwa kwa njia ya viumbehai. Kampaundi hizihizo zinaitwa [[kampaundi ogania]] na zina tabia ya kujengwa kwa [[atomi]] za [[kaboni]] zilizoingia katika [[muungo kemia]] na [[hidrojeni]]. Mchakato huu wa kuoza unaendelea kwa muda mrefu; [[kemikali]] kadhaa zinaachana haraka na mabakima[[baki]] ya mata ogania lakini kampaundi nyingine zinaweza kukaa kwa miaka mielfu[[elfu]] na zaidi ilhali zinaendelea kubadilika polepole.
 
==Umuhimu wa kimsingi wa mata ogania==
Kuwepo kwa mada ogania duinianiduniani ni muhimu kwa viumbehai vilivyopo kwa sababu vinatunza [[nishati]] ndani yao na hivyo kuwa [[lishe]] kwao.
 
Kwa upande mwingine mata ogania huwa na tabia za kifizikiaki[[fizikia]] zinazotunza [[unyevu]] na [[maji]] kwenye [[udongo]]. Kwa njia hiihiyo kuwepo kwa mata ogania ni msingi wa uhai kwenye uso wa dunia.
 
==Mata ogania katika udongo==
Mata ogania katika udongo ''(kwa [[ing.Kiingereza]]: Soil organic matter / SOM)'' ni jumla ya mata ogania inayopatikana hasa kwenye [[tabaka]] yala juu yala [[udongo]].
 
Kwa mfano wa [[msitu]] majanima[[jani]] na matawima[[tawi]] huanguka chini na kutandika [[ardhi]] ya msitu. Mabaki hayahayo yote ni mata ogania itakayoendelea kuoza na kubadilika. <ref>http://www.epa.gov/epaoswer/non-hw/organics/index.htm</ref> Mara yameoza kiasi cha kwamba haionekani tena ilikuwa nini kiasili vipande vyake vinaingia ndani ya udongo wa juu ama kama [[wadudu]] na [[minyoo]] wanaoyasaga na kupeleka vipande kwenye makazi yao ndani ya udongo au kwa njia ya maji ya [[mvua]] yanayovibeba ndani ya nafasi katika udongo wa juu. Sasa imekuwa "mata ogania katika udongo". Mara hii mata imeendelea kuoza hadi kufikia hali ya kampaundi ogania za kudumu huitwa [[mboji]] (humus). <ref>Kwa hiyo kitaalamu "mata ogania katika udongo" ni mata ogania yote iliyopo ndani ya udongo isipokuwa bila mata ogania isiyoanza kuoza bado.(http://soils.usda.gov/sqi/concepts/glossary.html).</ref>
 
[[Wanasayansi]] hutofautianahutofautisha [[aina]] tatu za mata ogania katika udongo:
# [[biomasi]] ya viumbehai kama [[bakteria]]
# mabaki ya mimea (pia wanyama) yaliyopatikana kwa muda mfupi tu ambayo bado yako katika mchakato wa kuoza
# [[mboji]] ambayo ni mata ogania iliyooza tayari na kufikia hali ya kuwepo kwa kampaundi zisizoendelea kuchakata haraka.
 
"Mata ogania katika udongo huwa [[asilimia]] 1 - 6 ya [[masi]] ya udongo wa juu kwa sehemu kubwa ya ardhi ya sehemu za [[mwinuko]].
 
Udongo wa juu mwenyewenye [[kiwango]] cha mata ogania chini ya asilimia 1 unapatikana hasa jangwani[[jangwa]]ni.
 
Kwa upande mwingine udongo wa juu kwenye [[tambarare]] za chini zenye maji mengi unaweza kushika hadi asilimia 90 za mata ogania. Udongo mwenyewenye asilimia 12 - 18 za kaboni ogania (sawa na asilimia 20-30 za mata ogania) huitwa udongo ogania" <ref>Troeh, Frederick R., and Louis M. (Louis Milton) Thompson. Soils and Soil Fertility. 6th ed. Ames, Iowa: Blackwell Pub., 2005. [http://oceanagrollc.com/?p=73]</ref>
 
== Marejeo Tanbihi==
<references/>
 
== Marejeo ==
*Aiken, George. United States of America. United States Geological Survey. Organic Matter in Ground Water. 2002. 1 May 2007 <http://water.usgs.gov/ogw/pubs/ofr0289/ga_organic.htm>.
*Cabaniss, Steve, Greg Madey, Patricia Maurice, Yingping Zhou, Laura Leff, Ola Olapade, Bob Wetzel, Jerry Leenheer, and Bob Wershaw, comps. Stochastic Synthesis of Natural Organic Matter. UNM, ND, KSU, UNC, USGS. 22 Apr. 2007.
*Cho, Min, Hyenmi Chung, and Jeyong Yoon. "Disinfection of Water Containing Natural Organic Matter by Using Ozone-Initiated Radical Reactions." Abstract. Applied and Environmental Microbiology Vol. 69 No.4 (2003): 2284-2291.
*Fortner, John D., Joseph B. Hughes, Jae-Hong Kim, and Hoon Hyung. "Natural Organic Matter Stabilizes Carbon Nanotubes in the Aqueous Phase." Abstract. Environmental Science & Technology Vol. 41 No. 1 (2007): 179-184.
*"Researchers Study Role of Natural Organic Matter in Environment." Science Daily 20 Dec. 2006. 22 Apr. 2007 <http://www.sciencedaily.com/releases/2006/12/061211221222.htm>.
*Senesi, Nicola, Baoshan Xing, and P.m. Huang. Biophysico-Chemical Processes Involving Natural Nonliving Organic Matter in Environmental Systems. New York: IUPAC, 2006.
*"Table 1: Surface Area, Volume, and Average Depth of Oceans and Seas." Encyclopædia Britannica.
*"Topic Snapshot: Natural Organic Material." American Water Works Association Research Foundation. 2007. 22 Apr. 2007 <http://www.awwarf.org/research/TopicsAndProjects/topicSnapShot.aspx?Topic=Organic>.
* United States of America. United States Geological Survey. Earth's Water Distribution. 10 May 2007. <http://ga.water.usgs.gov/edu/waterdistribution.html>
*Water Sheds: Organic Matter. North Carolina State University. 1 May 2007 <http://www.water.ncsu.edu/watershedss/info/norganics.html>.
 
== Tazama pia ==
*[[Biomasi]]
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Category:kampaundi ogania]]