Uti wa mgongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 11:
Uti wa mgongo unafanywa na pingili 33-35, kutegemeana na umri wa mtu; tofauti hutokea kwenye sehemu ya mkia. Huangaliwa na matibabu kwa sehemu kuu tano:
 
* '''Uti wa shingoni''' ''(ing. cervical, lat. pars cervicalis)'' : inashika fuvu ya kichwa (nyekundu). Ina pingili 7. Mbili za juu zinaunganisha fuvu na utu wa mgongo.
 
* '''Uti wa kifuani''' ''(ing. thorax, lat. pars thoracica)'': sehemu hii (buluu) inashika [[mabavu]] yote mahali pake. Ina pingili 12.
 
* '''Uti wa kiuno''' ''(ing. lumbar, lat. pars lumbalis)'': sehemu hii inaunganisha mwili wa juu na mwili wa chini. Inamwezesha mwandamu kugeuza mwili bila kusogeza miguu. Ina pingili 5 (njano).
 
* '''Uti wa nyonga''' ''(ing. sacrum, lat. os sacrum)'' inashika [[nyonga]]. Ni pingili tano ambazo kwa kawaida zimeungana kama mfupa mmoja - (kibichi)
 
* Uti wa mkia'''Kifandugu''' ''(ing. coccygeal)'' - inashika musuli kadhaa (zambarau), ina pingili 3-5.
 
== Marejeo ==