Uti wa mgongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 9:
 
== Sehemu za uti wa mgongo ==
Uti wa mgongo unafanywa na pingili au vetebra 33-35, kutegemeana na umri wa mtu; tofauti hutokea kwenye sehemu ya kifandugu. Pingili 24 za juu zinatenganishwa kwa [[visahani vyaavya vetebra]]. Huangaliwa na matibabu kwa sehemu kuu tano:
 
* '''Uti wa shingoni''' ''(ing. cervical, lat. pars cervicalis)'' : inashika fuvu ya kichwa (nyekundu). Ina pingili 7. Mbili za juu zinaunganisha fuvu na utu wa mgongo.