Wikipedia:Mwongozo (Kumbuka) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 32:
# Si mahali pa kumsifu au kumpinga mtu au kitu chochote. Si mahala pa kusambaza maoni kama ukweli.
#Ni sawa kutaja maoni lakini sharti maoni yaonekana vile tusiyaonyeshe kama ukweli halisi.
# Tusiandike: "Bwana fulani ni mwanamichezo bora wa Afrika". Hii ni hoja, si bayana ya hakika. Kama ni kweli na muhimu, andika ya kwamba "Kuna watu wanaomwona kama mwanamichezo bora wa Afrika". Lakini kama huwezi kutaja kwanzaushuhuda kwaau ninivyanzo ''(taarifa ya gazeti inayopatikana katika intaneti au kitabu)'' kuwa amesifiwa hivyo uwezekano ni mkubwa ya kwamba sentensi kama hii itafutwa.
# Tujaribu kuchukua msimamo wa kati yaani tueleze mitazamo na maoni mbalimbali yaliyopo kama ni muhimu.