Tofauti kati ya marekesbisho "Mata"

314 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
| title = Mata
| data1 = [[File:Quartz oisan.jpg|200px]]<br/> [[File:Drop closeup.jpg|200px]]<br/> [[File:NO2-N2O4.jpg|200px]]<br/> [[File:Plasma-lamp 2.jpg|200px]]
| data2 = Mata kwa kawaida inapatikanainaweza kupatikana katika hali nne. Picha zinazionyesha kutoka juu kwenda chini: [[quartzkwazi]] ([[mango]]), [[maji]] ([[kiowevu]]), [[daioksidi ya nitrojeni]] ([[gesi]]), na [[plasmatufe la globeplazma]] ([[PlasmaPlazma (fizikia)|plasmaplazma]]).
}}
'''Mata''' (kutoka [[Kiingereza]] ''matter'': kwa [[Kiswahili]] pia "maada") ni neno pana linalojumlisha vyote vinavyoweza kuonekana, kusikika, kuguswa, kuchunguzwa n.k., ikiwemo hasa ''mata ya kawaida'' inayoundwa na [[atomi]] ambazo tena zinaundwa na [[kiini]] cha [[protoni]] na [[neutroni]], kikizungukwa na [[wingu]] la [[elektroni]].<ref name=Davies2>
{{cite book
|author=P. Davies
}}</ref>
 
Tangu [[karne ya 20]] [[ufafanuzi]] sahihi wa mata umeshindikana kutokana na maendeleo ya sayansi, nayo si tena jambo la msingi katika [[fizikia]] kama ilivyokuwa awali.<ref name=Penrose>
{{cite book
|author= R. Penrose
}}</ref>
 
Mata inapatikana kwa kawaida katika [[hali za mata|hali]] nne: [[mango]], [[kiowevu]], [[gesi]] na [[plasmaplazma (fizikia)|plasmaplazma]].
 
Hivyo matawi mbalimbali ya [[sayansi]] yanatumia neno mata kwa maana tofautitofauti.<ref name=Davies>
|publisher=Springer
|isbn=3-540-87850-5
}}</ref>[[Falsafa]] pia inatumia neno hilo, hasa kwa kutofautisha mata na [[roho]], na hivyo ulimwengu [[unaoonekana]] na ule ambao hauonekani, lakini unasadikika kuwepo.
}}</ref>
 
==Tanbihi==
 
[[Jamii:Fizikia]]
[[Jamii:Falsafa]]