Nanomita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa umeelekezwa kwenda Mita
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Nanomita''' ([[ing.]] '''nanometer''', alama '''nm'''<ref>http://www.unc.edu/~rowlett/units/dictN.html</ref>) ni [[kipimo cha SI]] cha kutaja urefo mdogo wa 10<sup>−9</sup> [[mita]]. Kwa lugha nyingine, ni sehemu ya bilioni 1 ya [[mita]] 1.
#REDIRECT [[mita]]
 
==Matumizi==
Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika fizikia ya [[atomi]] na [[molekuli]], pia katika mikrobiolojia na jenetikia. Kipenyo cha atomi ya heli ni takriban 0.1 nm; virusi nyingi vina kipenyo cha baina 20 nm na 300 nm.
 
Nanomita ni pia kipimo cha kawaida kw akutaja urefu wa mawimbi ya usumakuumeme. Nuru inayoonekana ina urefu wa wimbi kati ya 400 nm hadi 800 nm. .<ref>Hewakuruppu, Y., et al., ''[https://www.researchgate.net/publication/257069746_Plasmonic__pump__probe__method_to_study_semi-transparent_nanofluids?ev=prf_pub Plasmonic “ pump – probe ” method to study semi-transparent nanofluids]'', Applied Optics, 52(24):6041-6050</ref>
 
Neno latokana na lugha ya ([[Kigiriki]]: ''nanos'' (νάνος, "kibete") pamoja na neno "mita" ([[gir.]]μέτρον, metrοn, "kizio cha kipimo")
 
==Ulinganifu==
Nanomita 1 = 1.0 x 10<sup>−9</sup> [[mita]] = 1000 [[pikomita]]; 1000 nm = 1 [[mikromita]]
 
==Marejeo==
{{Reflist}}
 
[[jamii:Vipimo vya SI]]
 
==Tazama pia==
* [[Teknolojia ya nano]]
 
==Marejeo==
<references/>
 
==Tovuti za Nje==
*[http://adsabs.harvard.edu/abs/2001SPIE.4434..158G Near-field Mie scattering in optical trap nanometry]
 
 
[[Category:Vipimo vya SI]]