Bilioni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ matumizi tofauti ya neneo "bilioni"
Mstari 7:
 
[[Kiambishi awali]] [[giga]] kinatumika pia kumaanisha [[mara]] 1,000,000,000, ingawa katika [[lugha]] nyingine nyingi neno linalofanana na "bilioni" linamaanisha milioni milioni (1,000,000,000,000).
 
[[File:World map of long and short scales.svg|thumb|650px|Matumizi ya mifumo ya "short scale" na "long scale" duniani{{refbegin|3}}
{{Legend|#F056BE|"Short scale", "billion" kwa 1,000,000,000}}
{{Legend|#7F97F0|Long scale, "milliard" kwa 1,000,000,000}}
{{Legend|#AA78F0|Mifumo yote miwili kandokando}}
{{Legend|#F0D656|Mifumo tofauti}}
{{Legend|#E0E0E0|Hakuna data}}
{{refend}}]]
 
==Matumizi tofauti==
Katika Kiingereza cha Uingereza hadi mnamo mwaka 1964 neno "milliard" ilikuwa kawaida kwa namba inayoitwa sasa "bilioni". "Bilioni" ilikuwa kawaida cha Kiingereza cha Marekani tu lakini ilingia polepole pia katika matumizi ya Kiingereza cha kimataifa. Mwaka 1974 serikali ya Uingereza ikaamua kutumia umbo hili<ref>[http://hansard.millbanksystems.com/written_answers/1974/dec/20/billion-definition#S5CV0883P0_19741220_CWA_439 Tangazo la Waziri Mkuu wa Uingereza bungeni kuhusu matumizi ya "billion"]</ref> <ref>[http://www.linguistlist.org/issues/7/7-451.html Kuhusu historia ya matumizi ya "milliard, billion", Trillion" katika lugha ya Kiingereza]</ref>. Kwa Kiingereza mifumo hii miwili kwa kutaja namba kubwa sana huitwa "short scale" (Kimarekani) na "long scale" (Kiingereza cha zamani).
 
Nchi nyingine hasa za Ulaya, Afrika na [[Amerika ya Kilatini]] zimeendelea kutumia "long scale" kwa lugha kama [[Kifaransa]], [[Kijerumani]] au [[Kihispania]]. kwa hiyo katika nchi hizi 1,000,000,000 huitwa kwa neno kama "miliardi" na bilioni ni namba ya "milioni x milioni".
 
Tofauti inaweza kuleta mara nyingi makosa kama matini inatafsiriwa au kama kitabu cha kale kutoka Kiingereza hutumiwa.
 
 
==Tanbihi==