Teknolojia ya nano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Teknolojia ya nano''' ni neno na teknolojia mpya inayohusu matumizi ya vitu vidogo sana na miundo yao ambayo inapimwa kuwa kati ya nanomita 1-100. =...'
 
No edit summary
Mstari 7:
 
==Mifano ya kiasili==
Watu walishangaa tangu kale ni namna gani ya kwamba wadudu wanaweza kutembea kwenye uso wa ukuta bila kuanguka. Watungaji wa hadithi za katuni kama Spiderman aliwaza ya kwamba labda mtu angeweza kutumia mbinu uleule lakini hii ilitazamiwa kama ndoto tupu. Tangu wataalamu wametambua siri hii ya inzi inajulikana ya kwamba uwezo wao unatokana na nywele nyingi ndogo zenye urefu wa nanomita kadhaa ambazo zinaongeza sana eneo la uso wa miguu linalogusana na uso wa ukuta. KAdri ya uwezo unapatikana kutengeneza nyuzi nyembamaba kiasi hiki kuna tayari makadirio kwa vifuniko kwa miguu na mikono vitakavyowezesha watu kutambaa ukutani.
 
 
Mfano mwingine ni majani ya mimea mbalimbali ambayo hayawezi kuloweshwa kwa maji. Muundo wa uso wa majani haya unakataa maji kukaa juu yake. Wanasayansi wameanza kuiga muundo huu na tokeo lake ni nyuso za vitu visivyochafuka. Kutokana na maua ya [[yungiyungi]] tabia hii inaitwa "tabia ya yungiyungi" ''(ing. lotus effect)''.
 
[[jamii:teknolojia]]