Upumuo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:X-ray video of a female American alligator (Alligator mississippiensis) while breathing - pone.0004497.s009.ogv|thumb|Video ya [[mnyama]] wa kike [[jamii]] ya [[mamba]] akipumua.]]
'''Upumuo''' ni kitendo cha kuvuta [[hewa]] ndani ya [[mapafu]] au [[oksijeni]] kupitia viungo vingine kama vile [[matamvua]] ya samaki, halafu kutoa gesi ya CO<sub>2</sub>[[CO2]] pamoja na hewa iliyotumiwa.
 
Kuna pia upumuo wa ndani ambayo ni kazi ya seli za mwili kupokea oksijeni na kuitumia kwa mchakato wa [[oksidisho]] ndani yao.