Tofauti kati ya marekesbisho "Mtume Barnaba"

541 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 41 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q185856 (translate me))
[[Picha:Martyrdom Saint Barnabas.jpg|thumb|right|260px|[[Kifodini]] cha Mt. Barnaba, kutoka ''[[Legenda Aurea]]'' ya [[Jacopo wa Varazze]].]]
'''Yosefu wa Kupro''', [[Myahudi]] wa [[kabila]] la [[Lawi (kabila)|Lawi]] wa [[karne ya 1]] [[BK]], anajulikana hasa kupitia [[kitabu]] cha [[Matendo ya Mitume]] kwa jina la '''Barnaba''' (kwa [[Kiaramu]] בר נביא, bar naḇyā, yaani '[[mwana]] wa [[nabii]]'. Lakini [[Luka mwinjili]] ([[Mdo]] 4:36) alitafsiri kwa [[Kigiriki]] υἱός παρακλήσεως, huios paraklēseōs, yaani "mwana wa faraja" au "mwana wa himizo".
 
Humo tunapata [[habari]] kuwa [[uongofu|aliongokea]] mapema [[Ukristo]], akauza [[shamba]] lake na kuwakabidhi [[Mitume wa Yesu]] mapato yake ili wawasaidie [[maskini]]. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita [[Barnaba]], yaani "Mwana wa faraja" (Mdo 4:36-37).
'''Yosefu wa Kupro''', [[Myahudi]] wa [[kabila]] la [[Lawi]], anajulikana hasa kupitia kitabu cha [[Matendo ya Mitume]].
 
Humo tunapata habari kuwa aliongokea mapema [[Ukristo]], akauza shamba lake na kuwakabidhi [[Mitume wa Yesu]] mapato yake ili wawasaidie maskini. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita [[Barnaba]], yaani "Mwana wa faraja" (Mdo 4:36-37).
 
Kisha kuheshimiwa hivyo katika [[Kanisa]] la awali huko [[Yerusalemu]], alimtambulisha na kumdhamini [[Mtume Paulo]] muda mfupi baada ya huyo kuongoka huko [[Damasko]] (Mdo 9:26-28).
 
Watu wa mataifa walipoanza kuingizwa moja kwa moja katika Ukristo huko[[Mji|mjini]] [[Antiokia]], alitumwa huko kwa [[niaba]] ya Kanisa mama, akawa [[kiongozi]] mkuu wa jumuia hiyo mpya (Mdo 11:19-30; 13:1).
 
Baadaye [[Roho Mtakatifu]] alidai yeye na Paulo wapelekwe kufanya [[umisionari]] sehemu nyingine, wakaondoka pamoja na [[binamu]] yake, [[Yohane Marko]], kuelekea kwanza [[Kisiwa|kisiwani]] [[Kupro]], halafu [[bara]], katika maeneo ya [[Uturuki]] Kusini wa leo (Mdo 13:2-14:28).
 
[[Kazi]] yao ilipopata [[upinzani]] kwa sababu ya kutodai [[Wapagani]] wakiongoka washike [[Torati]] yote, walikwenda pamoja Yerusalemu (mwaka [[49]] hivi, kwa [[mtaguso]] wa Mitume, ambao uliamua kuhusu [[suala]] hilo (Mdo 15:1-35).
 
Baada ya kutengana na Paulo, Barnaba alifunga tena safari kwenda Kupro pamoja na Marko (Mdo 15:36-39) kati ya miaka [[50]] na [[53]], na baada ya hapo hatuna tena habari ya hakika juu yake.
Baadaye [[Roho Mtakatifu]] alidai yeye na Paulo wapelekwe kufanya [[umisionari]] sehemu nyingine, wakaondoka pamoja na binamu yake, [[Yohane Marko]], kuelekea kwanza kisiwani [[Kupro]], halafu bara, katika maeneo ya [[Uturuki]] Kusini wa leo (Mdo 13:2-14:28).
 
Baada ya hapo hatuna tena habari ya hakika juu yake, ila Mtume Paulo alimtaja kama mfano wa mtu asiye na [[mke]] kwa ajili ya [[uinjilishaji]] ([[1Kor]] 9:16-22).
Kazi yao ilipopata upinzani kwa kutodai Wapagani wakiongoka washike [[Torati]] yote, walikwenda pamoja Yerusalemu (mwaka [[49]] hivi, kwa [[mtaguso]] wa Mitume, ambao uliamua kuhusu suala hilo (Mdo 15:1-35).
 
Mapokeo yanasema aliuawa kwa ajili ya [[imani]] yake huko [[Salamis]], Kupro, mwaka [[61]].
Baada ya kutengana na Paulo, Barnaba alifunga tena safari kwenda Kupro pamoja na Marko (Mdo 15:36-39) kati ya miaka [[50]] na [[53]], na baada ya hapo hatuna tena habari ya hakika juu yake.
 
[[Kanisa Katoliki]], [[Waorthodoksi]], [[Waorthodoksi wa Mashariki]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] wanamheshimu kama [[mtakatifu]] tarehe [[11 Juni]].
 
Wataalamu wengine wanamtaja kama [[mtunzi]] wa [[Waraka kwa Waebrania]], na [[Klemens wa Aleksandria]] alimtaja kama [[mwandishi]] wa [[Waraka wa Barnaba]], lakini hakuna hakika.
 
==Marejeo==
*[http://www.saintbarnabaschurch.org.uk/stbarnabasbiog.htm Biography of St Barnabas]
*[http://www.barnabas.net Gospel of Barnabas]
*{{CathEncy|wstitle=St. Barnabas}}
*{{CathEncy|wstitle=Epistle of Barnabas}}
*{{Cite EB1911|wstitle=Barnabas}}
*[http://www2.evansville.edu/ecoleweb/glossary/barnabas.html The Ecole Glossary about Barnabas]
*[http://www.ccel.org/fathers2/ANF-01/anf01-41.htm The Epistle of Barnabas]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Mitume katika Ukristo]]
[[Jamii:Manabii wa Agano Jipya]]
[[Jamii:Watakatifu wa Kupro]]