Mfumo wa upumuaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
Binadamu pamoja na wanyama wa kundi la vetebrata wanaoishi kwenye nchi kavu na kupumua hewa wanachukua hatua tatu ya upumuaji:
 
*Hatua ya kwanza katika kazi hii ni kuvuta hewa ndani ya [[mapafu]].
*Hatua ya pili ni kubadilishana kwa gesi kunakotokea katika mapafu wakati oksijeni ya hewa inaingia katika damu na dioksidi kabonia inatolewa kutoka damu kuingia katika pumzi ya kutolewa.
*Hatua ya tatu ni upumuo wa ndani ya seli za mwili ambako oksijeni ya hewani inatumiwa.<ref>Pickering, W. Roy. ''Complete Biology''. Oxford [etc.: Oxford UP, 2006. Print 116-127.</ref>
Mstari 18:
*viputo ya mapafu ''(ing. alvioli)''
 
Baada ya kupitakupitia puani au mdomoni, koromeo na bomba la pumzi hewa inaingia kwenye mapafu. Hawa inagawiwa kwenye mabomba makubwa ya hewa na kutoka hawa kwenye mabomba madogo na madogo zaidi yanaoishia katika viputo vya mapafu. Viputo hivi huwa na ngozi nyembamba sana ambako gesi inaweza kuvuka na kuingia katika [[mishipa ya damu]] aina ya [[arteri]] inayopakana na viputo. Kila kiputo kinapakana na [[vena]] na arteri ndogo. Wakati huohuo gesi ya dioksidi kabonia inapokelewa kutoka vena na kutoka kwenye mapafu kwa njia ya kutoa pumzi.
 
 
 
==Marejeo==