Mfumo wa upumuaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 21:
 
==Mfumo wa upumuaji wa wanyama wa maji==
[[Picha:Tuna Gills in Situ 01.jpg|300px|thumbnail|Matamvua ya samaki aina ya [[una]]]]
Wanyama wengi wanaoishi ndani ya maji wanahitaji oksijeni pia wakitumia oksijeni iliyopo ndani ya maji. Hii ni tofauti kwa spishi chache za wanyama wa maji wenye mapafu, lakini wengi wanapokea oksijeni kupitia [[matamvua]].