Mfumo wa upumuaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 44:
[[Wadudu]] hawana mapafu lakini nafasi ndogo za wazi katika [[khitini]] iliyo kwao [[kiunzi nje]] na kutoka hapa kuna mabomba madogo ''([[ing.]] trachea)'' yanayoingia ndani ya mwili yanayowezesha hewa kufikia mwilini.
 
Wadudu kadhaa wanakaza mwili kwa musuli za tumboni kusudi la kubadilisha hewa ndani ya trachea lakini wengine hutegemea hewa kuingia peke yake. Hii inamaanisha ya kwamba mwili wa wadudu hupokea kiasi kidogo cha hewa tu na hii inasababisha wadudu kuwa na miili midoomidogo maana mtindo huu usingeweza kuridhisha mahitaji ya mwili mkubwa zaidi.
 
 
khitini yenye kazi ya kiunzi nje..
 
==Marejeo==