Maigizo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|Mwigizaji wa jukwaani wa awali kabisa Bi. [[Sarah Bernhardt kacheza kama Hamlet]] '''Maigizo''' ni mpangilio wa m...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:03, 13 Juni 2015

Maigizo ni mpangilio wa maneno unaombatana na utendaji wa wahusika. Wahusika huwa wanaiga mambo ambayo yanafanywa na jamii husika na kuyaonesha mbele ya hadhira. Pia maneno yanayosemwa na wahusika yanalingana na yale ya jamii husika.

Mwigizaji wa jukwaani wa awali kabisa Bi. Sarah Bernhardt kacheza kama Hamlet

Hivyo basi katika sanaa hii hutumia vitendo, misegeo/mijongeo ya mwili na miondoko mbalimbali kwa umbo lenye kuvutia hadhira. Wakati mwingine maigizo huambatana na nyimbo. Utanzu wa maigizo hujumuisha vipera kama vile:- matambiko, majigambo, ngonjera, ngoma, vichekesho, michezo ya jukwani na kadhalika.

Vyanzo

Viungo vya Nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: