Pembe (jiometria) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+pembetatu
viungo
Mstari 3:
'''Pembe''' ni nafasi kati ya mistari miwili pale ambako inakutana. Mistari huitwa "mikono" ya pembe. Nukta inapokutana ni kipeo au ncha.
 
Kiwango cha pembe hutajwa mara nyingi kwa [[nyuzi]] (alama '''°'''). Kiwango cha [[duara]] ni 360°. Jumla ya pembe katika [[pembetatu]] ni 180°.
 
Kuna pia vipimo vingine vya kutaja kiwango cha pembe kama vile radiani au gon.