Jiometri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Triangle.Right.svg|thumbnail|Jiometria inaweza kukadiria ukubwa kwa pembetatu]]
'''Jiometri''' (pia: '''Jiometria''', kutoka [[Kigiriki]] γεωμετρία ''geometria''; geo- "[[dunia]]", -metron "[[kipimo]]" kwa kupitia [[Kiingereza]] ''geometry'') ni aina ya [[hisabati]] inayochunguza [[ukubwa]], [[mjao]], [[umbo]] na mahali pa [[eneo]] au [[gimba]]. Tawi la jiometri linalochunguza [[pembetatu]] hasa huitwa [[trigonometria]].
 
Ma[[umbo]] huwa na [[wanda]] (dimensioni) mbili yakiwa bapa, au wanda tatu kama ni gimba.