Anna Makinda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +def using AWB
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Anne Makinda.jpg|thumb|Makinda]]
'''Anna Semamba Makinda''' (amezaliwa tar. [[15 Julai]] [[1949]]) ni mbunge wa jimbo la [[Njombe Kusini]] katika bunge la kitaifa nchini [[Tanzania]].<ref>[http://www.afdevinfo.com/htmlreports/peo/peo_589.html Mengi kuhusu {{PAGENAME}}]</ref> Pia alikuwa Naibu Spika wa Bunge tangu 2006 hadi 2010. Kwa sasa ndiye Spika wa Bunge la Tanzania. Mwaka wa 1990 na 1995 alikuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Pia miaka ya nyuma alishawahi kushika nyandhifa kadha wa kadha.
==Marejeo==