Tofauti kati ya marekesbisho "Ulemavu"

1 byte added ,  miaka 5 iliyopita
(→‎Historia: tahajia)
 
Kukosa uwezo wa kutembea ni ulemavu. Lakini kiwango chake kinaweza kupunguzwa kwa tiba na vifaa vya pekee. Akijifunza kutembea kwa kutumia vyuma vilivyofungwa kando ya miguu, vizuizi vya kutekeleza shughuli vinapungua sana. Kutegemeana na mazingira anapoishi ataona hasara ndogo au kubwa zaidi akitafuta njia yake katika maisha.
[[file:Pieter Bruegel d. Ä. 024.jpg|thumb|250px|Vilema, [[picha]] ya [[Pieter BruegelBrueghel Mzee]], [[Uholanzi]], mnamo 1568.]]
==Ulemavu wa kimwili==
Ulemavu wa kimwili unatokana na hitilafu yoyote inayoiwekea mipaka kazi ya kawaida ya viungo vya mwili kama vile [[mikono]] au miguu.