Kiunzi cha mifupa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Sehemu za kiunzi: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|az}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kiunzi cha binadamu.jpg|thumb|300px250px|Kiunzi cha binadamu]]
 
'''Kiunzi cha mifupa''' ni jumla ya [[mfupa|mifupa]] kwenye mwili wa mtu na wanyama. Mwanadamu ana kiunzi cha ndani na mifupa ni sehemu imara chini ya ngozi na nyama ya mtu na kusudi lake ni mwili ushikamane na kuwa thabiti lakini inaruhusu pia mwendo wa viungo kimoja-moja.
 
==Muundo wa kiunzi cha mifupa==
Kiunzi cha binadamu huwa na mifupa 206. Mifupa inaunganishwa kwenye viungo kwa [[nyugwe]] inayowezesha mwili kuwa nyumbufu. [[Ukano]] huunganisha mfupa na [[misuli]] ikipeleka nguvu ya misuli kwa mfupa.
Mfumo wa kiunzi cha mifupa cha wanyama [[kordata]] ni mifupa thabiti inayounganishwa kwa [[gegedu]]. Mifupa hii inasogezwa kwa musuli zinazofungwa kwa mfupa kwa [[kano (musuli)|kano]]. Gegedu inapatikana kwa [[mamalia]] hasa kwenye viungo vya mifupa. Kuna wanyama wengine kama [[papa (samaki)|papa]] ambako kiunzi chote kimejengwa kwa gegedu.
 
Pamoja na kupa mwili uthabiti na kuruhusu mwendo mifupa ni pia nafasi ya kuhifadhi minerali hasa [[kalsi]] na [[fosfati]].
 
Sehemu kuu ya kiunzi cha mifupa ni [[uti wa mgongo]]. Unashika mifupa yote kwa pamoja kuanzia [[fuvu]] hadi [[mabavu]] hadi mifupa ya chini inayokutana katika [[fupanyonga]]. Unakinga ndani yake pia [[neva]] kuu zinazoelekea kutoka [[ubongo]] kwenye fuvu hadi sehemu mbalimbali ya mwili.
 
Kiunzi cha binadamu huwa na mifupa 206. Mifupa inaunganishwa kwenye viungo kwa [[nyugwe]] inayowezesha mwili kuwa nyumbufu. [[Ukano]]Kano huunganisha mfupa na [[misuli]] ikipeleka nguvu ya misuli kwa mfupa.
 
Kati ya wanyama kuna pia aina zenye [[kiunzi cha nje]] au zisizo na kiunzi. [[Arithropodi]] kama [[wadudu]] huwa na kiunzi cha nje.
 
== Sehemu za kiunzi ==
<gallery mode="packed-hover" height="180">
Image:Kiunzi cha kichwa.jpg|Mifupa ya kichwa
Image:Kiunzi kiwiliwili.png|Mifupa ya kiwiliwili