Taya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|right|Taya ya chini ya binadamu '''Taya''' ni sehemu ya muundo wa kinywa wa wanyama wengi mwenye kazi ya kushika na k...'
 
No edit summary
Mstari 3:
 
==Mataya ya vertebrata==
Kwenye [[vertebrata]] au wanyama wenye [[uti wa mgongo]] mataya yanajengwa kwa [[mfupa]] au [[gegedu]] na kupatikana kwa jozi yaani taya ya chini na taya ya juu. Kwa spishi nyingi huwa na [[meno]].
 
Kwenye wanyama wenye miguu minne mifupa ya taya ya juu imeunganishwa na mifupa ya fuvu ya ubongo. Taya ya chini inaunganishwa kwa njia mbalimbali na taya ya juu. Nyoka zinaweza kuachana mataya yote mawili kabisa na hivyo kumeza hata windo kubwa sana.