Tofauti kati ya marekesbisho "Mtume Barnaba"

146 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Martyrdom Saint Barnabas.jpg|thumb|right|260px|[[Kifodini]] cha Mt. Barnaba, kutoka ''[[Legenda Aurea]]'' ya [[Jacopo wa Varazze]].]]
'''Mtume Barnaba'''' (jina la awali Yosefu wa [[Kupro''',]]) alikuwa [[Myahudi]] wa [[kabila]] la [[Lawi (kabila)|Lawi]] wa [[karne ya 1]] [[BK]], anajulikana hasa kupitia [[kitabu]] cha [[Matendo ya Mitume]] kwa jina la '''Barnaba''' (kwa [[Kiaramu]] בר נביא, bar naḇyā, yaani '[[mwana]] wa [[nabii]]'. Lakini [[Luka mwinjili]] ([[Mdo]] 4:36) alitafsiri kwa [[Kigiriki]] υἱός παρακλήσεως, huios paraklēseōs, yaani "mwana wa faraja" au "mwana wa himizo".
 
Anajulikana hasa kwa jina la Barnaba (kwa [[Kiaramu]] בר נביא, bar naḇyā, yaani '[[mwana]] wa [[nabii]]'. Lakini [[Luka mwinjili]] ([[kitabu]] cha [[Matendo ya Mitume]] 4:36) [[tafsiri|alilitafsiri]] kwa [[Kigiriki]] υἱός παρακλήσεως, huios paraklēseōs, yaani "mwana wa faraja" au "mwana wa himizo".
Humo tunapata [[habari]] kuwa [[uongofu|aliongokea]] mapema [[Ukristo]], akauza [[shamba]] lake na kuwakabidhi [[Mitume wa Yesu]] mapato yake ili wawasaidie [[maskini]]. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita [[Barnaba]] (Mdo 4:36-37).
 
==Habari zake katika [[Biblia]]==
HumoKatika kitabu hicho cha [[Agano Jipya]] ([[Biblia ya Kikristo]]) tunapata [[habari]] kuwa [[uongofu|aliongokea]] mapema [[Ukristo]], akauza [[shamba]] lake na kuwakabidhi [[Mitume wa Yesu]] mapato yake ili wawasaidie [[maskini]]. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita [[Barnaba]] (Mdo 4:36-37).
 
Kisha kuheshimiwa hivyo katika [[Kanisa]] la awali huko [[Yerusalemu]], alimtambulisha na kumdhamini [[Mtume Paulo]] muda mfupi baada ya huyo kuongoka huko [[Damasko]] (Mdo 9:26-28).
Baada ya hapo hatuna tena habari ya hakika juu yake, ila Mtume Paulo alimtaja kama mfano wa mtu asiye na [[mke]] kwa ajili ya [[uinjilishaji]] ([[1Kor]] 9:16-22).
 
==Kilichofuata==
Mapokeo yanasema aliuawa kwa ajili ya [[imani]] yake huko [[Salamis]], Kupro, mwaka [[61]].